Serikali inatambua na kuthamini umuhimu na mchango mkubwa wa wauguzi katika jamii na kwamba ndio kada ya afya ambayo watumishi wake wanatumia muda mrefu kuhudumia mgonjwa hivyo imejipanga kutatua changamoto mbalimbali zinazoigusa kada hiyo.
Watumishi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) leo wameungana na Wafanyakazi wengine duniani katika kuadhimisha ya siku ya Wafanyakazi.
Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma, katika viwanja vya Jamhuri amb ...
Watumishi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila wametakiwa kutambua kuwa likizo ni haki ya kila mtumishi na sio kitu anachopewa mtumishi kama upendeleo.
Hayo yamesemwa leo na Afisa Utumishi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Bw. Jul ...
Wataalamu wa Afya kutoka Hospitali za Rufaa za Mikoa washauriwa kujengeana uwezo na kupeana maarifa kuhusu mbinu mbalimbali za kitabibu ili kuboresha matibabu kwa wananchi katika mikoa yao na kupunguza msongamano wa wagonjwa katika Hospitali ya ...
Waziri wa Afya Mh. Ummy mwalimu amezindua mtambo wa kuzalisha hewa tiba (Oxygen generating plant) wenye uwezo wa kuzalisha mitungi 200 ya ujazo wa 6.3 M³ kwa siku ambao umegharimu dola za Marekani 300,000, pamoja na mradi wa kub ...
Wauguzi, Wakunga pamoja na Wauguzi Tarajali wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Upanga wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za kazi zinazokubalika wakati wa kutoa huduma kwa wagonjwa mbalimbali wanaofika kupata matibabu katika hospitali hiyo.
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imepokea zawadi mbalimbali zenye thamani ya TZS 1, 600, 000 kutoka kwa wafanyakazi wanawake wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka (DART) na Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDART) ikiwa ni maadhimis ...