Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA

Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umeshauriwa kuongeza kasi na kuboresha matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika kutekeleza mipango mkakati iliyojiwekea ili kuokoa muda wa kutoa huduma na kufikia malengo yake.

Mbuge Ali Khamis Aipongeza Muhimbili Kuponya Mwanae

Mbunge wa Jimbo la Mwanakwerekwe Mh. Ali Salim Khamis leo ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) pamoja na watalaam wake wote kwa jinsi walivyompokea mtoto wake na kumpa huduma stahiki.

“Leo natoa shukrani zangu za dhati kwa MNH na kukabid ...

Muhimbili Yapokea Msaada wa Vifaa Tiba

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imepokea msaada wa vifaa tiba kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wenye thamani ya shilingi milioni kumi.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA ...