RC MAKALLA: awataka wafanyabiashara wadogo waliovamia eneo la stendi Muhimbili kuondoka

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Amos Makalla amewataka wafanyabiashara wadogo waliovamia eneo la stendi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kuondoka kwani mazingira hayo si sahihi kufanya biashara hivyo wanatakiwa kwenda katika maeneo ambayo yamehalalishw ...

Vyumba vya upasuaji Muhimbili kufanya kazi saa 24

Kurugenzi ya Huduma za Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ipo mbioni kuanza kufanya shughuli za upasuaji kwa saa 24 ili kupunguza muda wa wagonjwa kusubiri foleni ya kufanyiwa upasuaji kutokana na ufinyu wa nafasi katika vyumba hivyo.

Hayo ...

Kurugenzi ya Tiba Muhimbili yajizatiti kuboresha huduma

Kurugenzi ya Huduma za Tiba, Hospitali ya Taifa Muhimbili inayoongoza idara saba imejipanga kuongeza kasi ya uwajibikaji kwa madaktari, madaktari bingwa na watoa huduma wengine ili kuinua kiwango cha ubora huduma  wanazotoa kwa wananchi.

Hayo y ...

Wamshukuru Rais Samia kwa msaada wa matibabu Muhimbili

Bi. Helena Hungoli (60) na mtoto wake Bw. Safari Gidale (34) wakazi wa Kijiji cha Imbili Juu, kilichopo Halmashauri ya Mji wa Babati, Mkoani Manyara,ambao waliugua  ugonjwa uliosababisha nyama kubwa kuota usoni na kwenye baadhi ya viungo wameruhusiwa k ...

Huduma za upasuaji rekebishi kuboreshwa Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ipo njiani kuanzisha ushirikiano na wataalamu bobezi wa upasuaji rekebish (plastic surgery)  kutoka taasisi ya Health Smile Trust ya nchini Uingereza unakaolenga kutoa huduma kwa wananchi na  kujenga uwezo kwa wa ...

Wafanyakazi Muhimbili watangaziwa neema

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wametangaziwa neema ya kurejeshewa mkono wa heri wakati wa kustaafu pamoja na kupata posho zao mbalimbali  ifikapo tarehe 15 ya kila mwezi.

Ne ...

Prof. Janabi: Watoa huduma Muhimbili kulipwa madai yao TZS. 36 Bil

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi ameahidi baada ya miezi mitatu kuanza kulipa madeni zaidi ya TZS. 36 Bil. kwa watoa huduma (suppliers) ambao walikua hawajalipwa baada ya kutoa huduma mba ...

Prof. Janabi: Tutawalipia ada wafanyakazi 2023/2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amewataka wafanyakazi kufanya kazi kwa bidiii na kujituma ili kuiwezesha hospitali kupata mapato ya ziada na hatimaye kutenga fedha za kuwalipia ada katika ...

KAS Medics yatoa msaada wa rangi kusaidia uboreshaji wa Wodi ya Mwaisela

Kampuni ya Kas Medics inayojihusisha ya uuzaji na usambazaji wa dawa na vifaa tiba imetoa msaada wa rangi ili kusaidia uboreshaji wa Wodi namba 3 ya Jengo la Mwaisela.

Akipokea msaada huo leo Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mo ...

Prof. Janabi: Huduma kuboreshwa changamoto kutatuliwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amekutana na makundi mbalimbali ya wafanyakazi (Upanga) ili kufahamiana kusikiliza maoni au changamoto walizonazo na hatimaye kuja na mikakati ya uboreshaji huduma.

Prof. Janab ...