Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itafanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha wawili waliozaliwa wakiwa wameungana sehemu ya kifua na tumbo wakati kwa umbo la ndani wameungana ini lakini kila mtoto ana ini lake, hivyo kuifanya Tanzania kuwa nchi ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imetakiwa kuendeleza utamaduni wa kufanya tafiti na kusambaza matokeo ya tafiti hizo ili ziweze kusaidia kuboresha huduma za afya nchini.
Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Mago ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imewashukuru wachangia damu ambao wamekuwa wakijitokeza kuchangia damu mara kwa mara hivyo kuokoa maisha ya wengine wenye uhitaji ikiwemo wamama wajawazito,majeruhi wa ajali mbalimbali, wagonjwa wenye saratani za damu pamo ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendesha mafunzo elekezi kwa wataalamu tarajali ambao wamepokelewa kutoka kwa Wakala wa Ajira Tanzania (TAESA) kwa lengo la kuwajengea uwezo katika ufanyaji kazi wao.
Jamii imetakiwa kuacha kuwabagua watu wenye changamoto ya afya ya akili kwa kuwa kila mtu ana changamoto ya afya ya akili japo wanatofautiana kiwango cha changamoto hiyo.
Hayo yamesemwa na Afisa Muuguzi wa Magonjwa ya Afya ya Akili kutoka Hosp ...
Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila, Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamepongezwa kwa huduma nzuri wanazozitoa kwa wagonjwa.
Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Il ...
Hospitali ya Taifa Muhimbili itaongoza kufanya utafiti wa kuchunguza madhara ya muda mrefu kwa wananchi ambao waliwahi kuugua ugonjwa wa UVIKO-19 (Post Covid Sequelae) kwa ufadhili wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) kupitia Wizara ya Afya.
Hospitali ya Taifa Muhimbili kupitia mradi wa kuongeza kasi ya upatikanaji huduma kwa magonjwa ya damu imekabidhi kliniki ya kuhudumia wagonjwa wa Himofilia na Selimundu yenye vifaa vya Maabara na Fiziotherapia vyenye thamani ya ...
Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Upanga na Mloganzila, Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wanategemea kuendesha kambi maalumu ya upimaji wa afya bila malipo siku ya tarehe 26 Mei katika viwanja vya Te ...
Shirika la Vision Care Tanzania linaendesha mafunzo kuhusu namna ya kufanya upasuaji wa macho kwa njia ya tundu dogo (Phacoemulsification surgery) kwa madaktari bingwa wa macho pamoja na wauguzi kutoka ...